Aliyekuwa Spika wa Bunge katika Bunge la kumi la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Bi. Anne Makinda amesema kuwa hanampango wa kugombea tena
nafasi hiyo na wala hajachukua fomu kama inavyo elezwa na baadhi ya
watu.
CHANZO: ITV MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA>>