Mtu mmoja ajulikanae kwa jina la Moses Kangombe
amehukumiwa Kuchapwa viboko vinne (4) kwa kosa la ubakaji,
Mara: Kwa mujibu wa mwanasheria Ramadhani Lugemalila ameeleza kuwa adhabu hiyo imetolewa kwa mhalifu huyo kutokana na kosa la kubaka na kumsababishia mlalamikaji ujauzito.
Ameeleza kuwa Mosses atakabiliwa na viboko 16 ambapo viboko 12 ni kwaajili ya kosa la ubakaji na vingine 4
kwa kosa la kumsababishia mimba mlalamikaji.
Bwana Lugemila amemalizia kwa kusema kuwa adhabu hiyo imetolewa kwa kufuata vifungu vya sheria na imeendana na umri wa mhalifu ambao ni chini ya miaka 18