
Sehemu ya Wananchi wakazi wa
Mji wa Pongwe Mkoani Tanga wakiangalia mwili wa mtu huyo uliokuwa ukining'inia
juu ya mti. Ambapo mpaka ripota wetu anaondoka eneo la tukio hakukuwa na
Mwanausalama yeyote aliefika eneo hilo.
Safari ya
kuingia kwenye pori hilo kwenda kushuhudia na kuona kama watamtambua mtu huyo.
Wakazi wa Mji wa Pongwe wakiuangalia mji huo kwa
masikitiko makubwa.
Ni uzuni ulikuwa imetawala eneo hilo.
MTU mmoja anayekadiriwa
kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka
sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje
kidogo ya mji wa Pongwe, Mkoani Tanga akidhaniwa kuwa amejinyonga.
Hali ya
sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza kufika
katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi kilichomsibu mtu huyo mpaka
kufikwa na mauti ya aina hiyo... Endelea>>