
Akizungumza
mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye hakutaja jina lake,ameeleza kuwa
walipata taarifa za tukio hilo kutoka kwa kijana mmoja aliekuwa akichunga
ng'ombe katika pori hilo ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja,hali
iliyowapekea kwenda moja kwa moja eneo la tukio kushuhudia na kuona kama
watamtambua mtu huyo,lakini kila alefika pale hakuweza kumtambua huku wengine
wakisema huenda hutu huyo alikuwa ni mgeni kijijini hapo.
Ripota wetu
alipo Jijini Tanga anaendele na juhudi za kumtafuta Kamana wa Polisi wa Mkoa
huo ili kuona kama anataarifa zozote juu ya tukio hilo.
Crdt: Ngara Yetu