
Hii imekuja siku chache
baada ya Tibaijuka kusema kuwa rais Kikwete hawezi kumuwajibisha.
Katika hali iliyotarajiwana wengi aliyekua waziri wa ardhi nyumba na makazi
chuni Tanzania Anna Tibaijuka ameondolowewa katika wadhifa
wake huo baada ya kuhusishwa katika sakata la ESCROW.
Hii imekuja siku chache
baada ya Tibaijuka kusema kuwa rais Kikwete hawezi kumuwajibisha.
Baada ya
uamuzi huo zilisikika sauti na kelele za watu kumpongeza rais kwa hatua hiyo.
CHANZO: TBC