Alisema alichukua chepe na kumpiga nalo mara mbili kichwani hadi ali[oanguka na kuzirai. Alisema baada ya hapo alitoa ripoti polisi ambao walifika na kumchukua.
Viongozi waliotunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili ni Adam Sapi Mkwawa (marehemu), Erasto Man’genya (marehemu), Pius Msekwa, Samuel Sitta, Francis Nyalali (marehemu), Augustino Ramadhani, Timoth Apiyo (marehemu), Paul Rupia, Ali Salum Ahmed na Mohammed Fakih Mohammed.

Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu ni
Peter Kisumo, Anna Abdallah, Kingunge Ngombare-Mwiru, Isaack Sepetu (marehemu),
Alli Mzee Alli (marehemu), Brigedia Jenerali mstaafu Adam Mwakanjuki
(marehemu). Ali Ameir Mohamed, Al-Noor Kassum, Jenerali mstaafu Ernest Kiaro
(marehemu), Solomon Liani (marehemu), Augustine Mahiga, Phillemon Mgaya,
Ambindwile Mwaijande (marehemu) na Simeon Mwanguku.
Waliopewa Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne ni
Sophia Kawawa (marehemu), Haji Machano Haji, Johari Yusufu Akida na Bendi ya
Atomic Jazz. Jenerali mstaafu David Musuguri alipewa Nishani ya Operesheni
Safisha Msumbiji huku Kassim akipewa nishani ya ushupavu.