Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri yo Wilaya yo Gairo anatangoza nafasi
sita (6) za kazi Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati yo hizo
yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa
kwenye Tangazo hili.
Nafasi ya Kazi:- msaidizi wa- ofisi (3)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe noa Elimu ya Kidato cha Nne (IV)
Awe amefaulu vizuri katika masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati .
KAZI NA MAJUKUMU
Kufanya usafi wa ofisi no mazingira yo nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo. Kuchukua na kupeleka majolada na hati nyingine kwa Maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika. .
Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa. Kutayarisha chai ya ofisi.
Kupeleka mfuko wa peste-no kuchukua barua kutoka posta.
Kuhakikisha kwamba vifaa vinawekwa sehemu zinazostahili.
Kufungua milango no madirisha ya ofisi wakati wa asubuhi na kuyafunga jioni baada ya masaa ya kazi.
Kudurufu barua na machapisho kwenye mashine za kudurufia.
Kuweka katika majalada nakala za barua zilizochapwa.
Kutunza vifaa vya Ofisi na kutoa ripoti kila vinapokaribia kuisha.

Nafasi ya kazi:- Dereva Daraja La II (Nafasi 3)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na Elimu yo Kidato cha Nne (IV).
Awe na Leseni daraja la "C".ya uendeshoii.
Awe no uzoefu wa kuendeshosmogori kwa muda usiopungua miaka mitatu bile kusababisha ajali.
Awe na cheti cha majaribio ya ~fundi Daraja la II.
KAZI NA MAJUKUMU
Kuendesho magari ya abiria na malori.
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katiko holi nzuri wakati wote na
kufanya uchunguzi wa gari kabla na baado yo safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
Kutunza na kuandika daftori 10 safari "Log - book" kwo safari zote.:
Ngazi ya Mshahara TGOS A
UTARATIBU WA UOMBAJI
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kozi sehemu yoyote kwenye Halmashauri yo Wilaya ya Gairo.
Baruo za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Toaluma,
Chef cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport Size)
Barua za maombiziambatanishwe no moelezo binafsi ya mwombaji (CV).
Wciombaji wote wanatakiwa wdwe no urriri wa kucinzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45.
Waomboji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa kuja na vyeti halisi (Original Certificate).
Waombaji waliokidhi vigezo watalazimika kufanya usaili.
Waombaji waandike anuani zoo kwa usohihi no namba zao za simu.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendoji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo
S.LP. 40,
GAIRO
Mwisho wa kupokea barua zo maoinbi ni tarehe 6/6/2016 saa 09:30 Alasiri.
Limetolewa na:-
Mbwana S. Magotta
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA, GAIRO