Mheshimiwa Jakaya M. Kikwete Raisi wa jamhuri
 ya muungano wa Tanzania.
 
Kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu mjadala wa katiba nchini na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuwakwepa kwa kipindi kirefu wajumbe wa umoja wa katiba (UKAWA) hatimaye mheshimiwa huyo amekubali kukutana na wajumbewa umoja huo.


Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa yeye hana tatizo na yupo tayari kukutana na wajumbe hao wiki hii ili kuweza kujadili hatma ya sakata hilo la katiba ambalo limekuwa likichukua sura mpya kwa kipindi cha miezi kadhaa sasa.

 
Top