Wanaswaji wakijutia baada ya kutiwa mikononi
Mwanaume
mmoja anayesemekana ni mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa
kata moja iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, aliyetajwa kwa jina
moja la mzee Beno amenaswa akiwa chumba cha gesti na denti wa chuo kimoja
kilichopo Kibamba jijini Dar, Ijumaa ‘kubwa’ lina mkanda wote.
Tukio hilo la aina yake lilijiri Oktoba 20, mwaka huu ndani
ya gesti moja (jina tunalo) iliyopo Kimara-Suka jijini Dar es Salaam ambako
mama mzazi wa wa binti huyo ndiye aliyemnasa mheshimiwa mtarajiwa huyo na binti
yake.
_____________________________________________________________________