Picha: Midomo ya Mtu mwenye daliliza magonjwa ya zinaa
Kijana uonapo dalili moja, au zaidi ya hizi zifuatzo unashauriwa uende kwenye kituo cha huduma ya Afya kwa uchunguzi.

Kwa Kijana wa Kike:
- Maumivu chini ya kitovu
- Kutokwa na usaha au majiamaji yenye harufu mbaya sehemu za siri.
- Kuwashwa sehemu za siri.
- Vidonda na vipele sehemu za siri, Mdomoni na sehemu nyingine za mwili.
- Maumivu wakati wa kujamiiana.
- Kuvimba mitoki.
- Kuota Sundosundo sehemu za siri.
- Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na muwasho au maumivu.
   
Picha ya uke wenye vidonda na unaotoa usaha 

Kwa Kijana wa kiume:
- Maumivu makali Sehemu za siri wakati wa kukojoa
- Kutokwa na usaha sehemu za siri.
- Vidonda sehemu za siri 
- Kuvimba mitoki
- Kupata malengelenge
- kuota Sundosundo (warts) sehemu za siri.
 
Picha ya Uume unaotoa usaha
   <<Soma Mwanzo              Soma Mbele>>






 
Top