Kufuatia hatua
hiyo mmoja kati ya wafanyakazi wa kiwanda hicho Bwana Amiry Ramadhani ameliomba
jeshi la polisi mkoani Tanga kuhakikisha wanafanya upelelezi wa kutosha ili
kujua kama huenda kuna baadhi ya wafanyakazi ambao wamekuwa chanzo cha tukio
hilo.
Crdt: Ngara Yetu