Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa. Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa m…
HOT JOBS
Error loading images. One or more images were not found.
Morata asisitiza kuondoka, Milan yajitosa
Madrid, Hispania. AC Milan imejitosa kuisaka saini ya Alvaro Morata ambaye ndoto yake ya kuhamia Manchester United imeingia kiza baada ya kushindwa kufikia dau wanalotaka Real Madrid. Milan inayomilikiwa na mataji wa China wameonyesha wapo tayari ku…

Wenger ampa Sanchez mshahara mnono
LONDON, ENGLAND. Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini wazi Alexis Sanchez anabaki katika klabu hiyo ili kukamilisha mipango yake ya kufanya kweli kwenye Ligi Kuu England msimu ujao. Sanchez siku chache tu zilizopita aliripotiwa akidai anataka k…

Mambo 6 ya Kuzingatia mwishoni mwa Wiki
Wakati tukielekea kuikamilisha wiki hii, Mtandao wa Wanasaikolojia Uingereza, (UK Psychologicalexperts) umetoa mawazo kadhaa ya kukujenga unapomaliza wiki. * Jiamini *Acha kutumia muda mwingi kufikiri badala ya kutenda *Fanya kazi kwa bidii *Epuka k…

Straika Yanga Agoma Kutolewa kwa Mkopo
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Juma Mahadhi, amesema kuwa yuko radhi kuachwa na kikosi cha mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara badala ya kupelekwa kwa mkopo katika klabu nyingine Mahadhi alitua Yanga msimu uliopita akitokea Coastal Union ya jijini Tanga…

BREAKING NEWS: Philemon Ndesamburo afariki dunia
Dodoma. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi. Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kuelez…

Watafiti: Uendeshaji boda boda ni hatari kwa uzazi
Vijana wengi Afrika Mashariki wamekuwa wakitumia baiskeli kufanya biashara ya uchukuzi wa abiria, maarufu kama boda boda. Ni kazi inayohitaji mhudumu atumie nguvu nyingi za mwili wake. Sasa, watafiti nchini Kenya wanasema kunaweza kuwa na changamoto…

Mwanamume ahukumiwa kwa kugonga 'like' Facebook
Mahakama moja nchini Uswizi imempiga faini mwanamume mmoja aliyebofya alama ya kupenda au "like" kwa Kiingereza katika maoni yaliyotolewa kwenye ujumbe ulioandikwa katika Facebook. Ujumbe huo ulikuwa wa kumharibia mtu mwingine sifa. Kesi hiyo ilihus…

Waliotumbuliwa wanalipwa Sh480 milioni kwa mwezi
Dodoma. Maoni ya upinzani ya wizara mbili, jana yaliibua hoja tofauti; ya kwanza ikidai Serikali inawalipa wakurugenzi 120 waliotumbuliwa Sh480 milioni, na ya pili ikikikishutumu kiti cha Spika kwa kuzuia mjadala wa wabunge kutishiwa maisha. Katika …

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja
Si rahisi kufikiria maisha ya ndoa ya Maria na Consolata kwa jinsi walivyo, lakini pacha hawa walioungana wako wazi kuhusu matamanio yao ya maisha ya ndoa. Katika mazungumzo yao na gazeti hili, Maria na Consolata waliweka bayana mipango yao ya ndoa …
