Uchnguzi
umebaini kuwa simu zinazotumia mfumo huo zinaweza kufuatiliwa kwa urahisi mno
pasi na kutumia kifaa cha GPS yake.
Aidha
simu hizo zinaweza kudukuliwa kwa kutumia matumizi ya betri yake huku utafiti
ukisema kuwa simu zinazotumika karibu na kifaa cha kupeperushia masafa ya simu
za kuungia mbali.
Simu
za kisasa ''Smartphone'' hutumia nguvu zaidi inapokuwa mbali zaidi na kifaa
hicho cha kupeperushia masafa ya GSM, kwani inachangamoto tele za kungamua
masafa.
Matumizi
ya nguvu zaidi ya shughuli zingine yanaweza kubaiishwa na ''alogarithm'' muundo
msingi wa simu yenyewe.
Watafiti
hao sasa wameunda mfumo ambao unakusanya habari kuhusu matumizi ya betri ya
simu.
‘’Mfumo
huo hairuhusu kutumia GPS wala huduma zozote kwa mfano mtandao wa Wi-fi ‘’
Jopo
hilo linajumuishwa Yan Michalevsky, Dan Boneh na Aaron Schulman kutoka idara ya
sayansi ya tarakilishi katika chuo kikuu cha Standford pamoja na Gabi Nakibly
kutoka kwa kampuni ya Rafael waliandika katika utafiti wao.
’Tunaruhusa
ya kuunganisha mtandao na upatikanaji wa nguvu yao.’’
‘’Hizi
ni ruhusa za kawaida kwa mfumo huo na inawezekano wa kutoleta hutuma kwa upande
wa mwathiriwa.
Kuna
mifumo 179 ambazo zinapatikana kwenye Anaroid ,timu hiyo iliongezea.
Shughuli
kama kuskiza muziki au kutumia mtandao wa kijamii inamaliza betri ya simu lakin
i hii inaweza kupunguzwa kutokana na ‘’kujifunza kwa mashine’’ripoti inasema.
Jaribio
hilo lilifanyiwa kwa simu ambazo zinatumia mtandao wa 3G lakini haikuweza
kupima nguvu kwa kuwa twakimu inalindwa na kifaa hicho.