Lile jinamizi l ajali
nchini linaendelea kutikisa uhai wa wananchi wa Tanzania. Baada ya siku mbili
tu kupita tangu ilipotokea ajali kule mkoani Morogoro na kuua watu 18 na
wengine kujeruhiwa, Ajali nyingine mbaya imetokea muda huu.
Bado haijafahamika ni watu
wangapi waliofariki na wangapi ni majeruhi, endelea kututembelea kwa taarifa
zaidi.