Leo majira ya saa tisa kasorobo alasili watu 10 wamefariki dunia na wengine 50 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Unique Express lenye namba za usajili T148 kugongana na lori aina ya Scania lenye namba za usajili T207 BSA na tela lenye namba za usajili T635 AJT mali ya kampuni ya Coca Cola katika barabara ya Tinde Shinyanga eneo la kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

  

  
 
Top