Zaidi ya watu 20 wameripotiwa kufunikwa na mgodi wa dhahabu katika kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Kahama.
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia leo ambapo watu walivamia machimbo hayo ya zamani ambayo yamepigwa marufuku na uchimbaji ulikoma.
Moja ya duara la kuingilia shimoni kwenye mgodi
Kutokana na hali ya mvua katika eneo hilo na machimbo hayo kuto kuwa imara, udongo uliporomoka na kuwafunika wachimbaji 21 ambapo wawili kati yao waliweka kuokolewa na kutoka wakiwa hai huku wengine 19 wakipoteza maisha.
MTUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>