Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mh. George Simbachawene amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo kwa kushindwa kuzingatia Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wa kumpata mtoa huduma katika kipindi cha mpito, kushindwa kuchukua hatua hata pale alipobaini kuwa mtoa huduma wa mpito amekiuka masharti ya mkataba wa kutoa huduma ya mpito na kufanya maamuzi makubwa pasipo kuishirikisha Bodi ya Ushauri ya DART.

CHANZO: ITV

MATUKIO YA KUSISIMUA ZAIDI BOFYA HAPA>>
 
Top