Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa Jacob Mwaruanda
Mwanamke mmoja mkoani Rukwa katika kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumuua mume wake kisha kumtumbukiza mtni.
Mwanamke huyo aliyefahamika kwa majina Zelena Kiozya alimuua mume wake; Evod Teola (62) kwa kumchoma na maji ya moto walipokuwa katika mzozo na mwanaume huyo.
Kutkana na kukosekana kwa huduma za haraka mwanaume huyo alifariki dunia, hivyo Zelena akashirikiana na wazazi wake kuutumbukiza mwili wa mareemu mtoni wakiwa na lengo la kupoteza usahidi.
Kamanda wa olisi mkoa wa Rukwa, Jackob Mruwanda amethibitisha kutkea kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa Zelena anashikiliwa na polisi kwaajili ya kupandishwa kizimbani kujibu shitaka la mauaji, na wengine walioshirikiana naye kumtumbukiza Mtni wanatafutwa na polisi kwasababu walikimbia siku ya tukio.
PITIA MATUKIO MAPYA YA KUSISIMUA HAPA>>