Mwanamke mmoja aliyefaamika kwa jina la Hollo Mchibula (54) mkazi wa kijiji cha Kenenge wilayani Mbogwe mkoa wa Geita, ameuawa kikatili na kunyofolewa sehemu zake za siri.


Diwani wa kata ya Bukandwe henry Alphonce amethibitisa kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa, watu wasiofahamika walivamia nyumbani kwa Hollo majira ya saa 5:00 usiku na kumkatakata mapanga.

Kamanda wa polisi mkoa wa Geita; Joseph Konyo  amesema kuwa jeshi la polisi linamshikilia mtu mmoja kwa mahojiano na wanaendelea kuwasaka wale wote waliohusika na tukio hilo.

    KWA MATUKIO MAPYA YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>  

        

 
Top