Mwenyakiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenusurika kufa baada ya kukatwa mapanga kichwani mwake na Green Guard.
Hali hii inatishia amani ya wananchi hasa katika kipindi hiki cha chaguzi pamoja na mjadala wa katiba. Tumuombe Mungu atulinde na kutuepushia majanga kama haya.
Kwa matukio Zaidi Fungua hapa>>