Mwanamume mmoja mvuvi aliyefahamika kwa jina la Mubalak Batambuze (56) amejitoa muhanga kwa kupambana na mamba mkubwa aliyemuua mke wake Demetereya Nabwire ambaye alikuwa na ujauzito wa miezi nani.

Kwa mujibu wa chanzo chetu gazeti la New Vision lime eleza kuwa Mwanamke huyo Demetereya alifikwa na mkasa huo wakati alipokuwa amekwenda kusanya kuni pembezoni mwa mto wa Kyoga siku ya Jumapili iliyopita.

Bwana Mubalak Batambuze amepambana na Mamba huyo mkuwa kwa masaa kadhaa kwa kutumia mkuki hadi kummaliza na hatimaye kumuua kabisa. Baada ya kumpasua mamba huyo zikakutwa nguo na mavazi aliyokuwa amevaa marehemu siku ya tukio.

Wananchi wa eneo hilo wanamchukuliwa bwana Batambuze kama ni shujaa kwasababu mambayo mkuwa amekwisha kula watu sita.
 Chanzo  Vision News
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>
 
Top