Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.George Simbachawene (Pichani) amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kumsimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala Bw.Dennis. N. Mrema kuanzia leo kwa kosa la kusababisha upotevu wa Mapato ya Serikali kutokana na urasimu wa kukusudia, mazingira ya rushwa na uzembe katika utoaji wa leseni za Biashara.
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>
MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>