Watumishi tisa wakiwemo wakuu wa idara saba katika manispaa ya Kigoma ujiji, wamesimamishwa kazi kufuatia kamati iliyoundwa na waziri mkuu alipofanya ziara mkoani Kigoma mwishoni mwa mwaka jana na kubaini ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka kufuatia kuuzwa kiholela kwa majengo ya serikali na kandarasi hewa na kuisababishia seriali hasara ya karibu shilingi milioni mia tisa.
Chanzo ITV

HABARI NA MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA>>
 
Top