Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana kwa urahisi na chanzo chetu, mkazi wa Sakina ameuawa kikatili jana jioni huko jijini Arusha baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu ndani ya gari.
Mama
huyo ni mke wa mmiliki wa baa moja maarufu sana jijini Arusha (jina kapuni) na
gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY ni la mama huyo.
Walikuwa
wameegesha na kujibanza mafichoni yaani uchochoroni kwenye moja ya maeneo ya
kwa Iddi, Sakina na inasemekana walikuwa waliwekewa mtego na mwenye mke.
Chanzo Kunani leo