NEWS: Atakayechafua Mazingira Atakumbana na Faini ya 50,000/=
NEWS: Atakayechafua Mazingira Atakumbana na Faini ya 50,000/=

HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeonya kuwa itatoza faini ya Sh 50,000 kwa wakazi wa mjini Sumbawanga watakaobainika kutiririsha maji machafu ili kuhakikisha manispaa hiyo inabaki kuwa safi na salama. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ma…

SOMA ZAIDI HAPA>>

NEWS: Kiama Kimewashukia Wafanyakazi wa Halmashauri ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Milioni 512.3 Zimewaponza
NEWS: Kiama Kimewashukia Wafanyakazi wa Halmashauri ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Milioni 512.3 Zimewaponza

Wafanyakazi 11 wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wakiwemo afisa utumishi wa wilaya, mchumi, mhasibu na afisa ugavi, afisa muuguzi na katibu wa afya wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za serikali zaidi ya shs. 512.…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Wasifu Wa Majaaliwa, waziri Mkuu wa Tanzania
Wasifu Wa Majaaliwa, waziri Mkuu wa Tanzania

Bwana majaaliwa Kassim Majaaliwa, ambaye ameidhinishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, alizaliwa tarehe 22 Desemba mwaka 1960 yaani miaka 55 iliyopita. Kitaaluma ni Mwalimu aliyepata elimu yake ya Ualimu katika chuo cha ualimu cha Mtwara mwak…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Matokeo Ya Uchaguzi Majimbo ya, Ubungo, Meatu, Kisesa, na Kigamboni...BOFYA HAPA>>
Matokeo Ya Uchaguzi Majimbo ya, Ubungo, Meatu, Kisesa, na Kigamboni...BOFYA HAPA>>

  UBUNGO: Kubenea Saidi Ahmed wa Chadema ameshinda, Jimbo la Meatu ameshinda Salum Mbuzi wa CCM, Luhanga Mpina wa CCM ameshinda Kisesa na Jimbo la Kigamboni ameshinda Faustine Ndungulile wa CCM. MATOKEO ZAIDI BOFYA HAPA>>  …

SOMA ZAIDI HAPA>>

Gari La Kampeni Meneja Lashambuliwa Vibaya na Wananchi
Gari La Kampeni Meneja Lashambuliwa Vibaya na Wananchi

Gari la mmoja wa makampeni meneja wa mgombea Ubunge jimbo la Moshi vijijini kwa tiketi ya CCM Dk. Cyrill Chami, limeshambuliwa na kuharibiwa vibaya na wananchi wakilishuku kuwa na kura bandia. Katika tukio hilo lililotokea leo majira ya saa 10:00 Al…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Sokomoko Laibuka Kuhusu Majina Ya Wapiga Kura. HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>
Sokomoko Laibuka Kuhusu Majina Ya Wapiga Kura. HABARI KAMILI BOFYA HAPA>>

Katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania kumetokea changamoto baada ya baadhi ya watu majina yao kuto kuonekana katika daftari la kudumu la wapiga kura. Hali hii imeripotiwa kutokea katika kituo cha Meko, nje kidogo ya mji wa Mwanza, ambapo baadhi ya…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutangaza Matokeo ya uchaguzi ndani ya saa 24. HABARI KAMILI GUSA HAPA>>
Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutangaza Matokeo ya uchaguzi ndani ya saa 24. HABARI KAMILI GUSA HAPA>>

Tume ya taifa ya uchaguzi (Nec), imeahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi wa madiwani na wabunge ndani ya saa 24 wakati yale ya Rais yatatolewa siku tatu baada ya kupiga kura. Aidha Nec imewaagiza wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo kutotangaza matoke…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Rais Kikwete Atoa Onyo kwa Wanaojipanga Kulinda Kura Vituoni... HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>
Rais Kikwete Atoa Onyo kwa Wanaojipanga Kulinda Kura Vituoni... HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema watu wote wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza kwa zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kuna ashiria uvunjaji wa amani, hivyo serikali imejipanga kupambana na hali hiyo wakati wa uchagu…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Chadema Yaaswa Kuachia Majimbo na Viongozi wao. HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>
Chadema Yaaswa Kuachia Majimbo na Viongozi wao. HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>

Mgombea mwenza wa urais kwa tiketu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Juma Duni Haji amewataka wagombea ubunge katika majimbo ya Buyungu Na Kasulu Mjini Mkoani Kigoma kuheshimu  uamuzi w a viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi - UKAWA  …

SOMA ZAIDI HAPA>>

Wagombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na wa umoja wa katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chadema, Edward Lowasa, wamegongana mkoani Manyara, mmoja akifanya kampeni zake Babati Mjini na mwingine Babati Vijiji, na kuvutia umati mkubwa wa wan…

SOMA ZAIDI HAPA>>

MAJONZI: Afisa wa Chadema Afariki Dunia na Mgombea Ubunge kwa Chama hicho yupo Mahututi. BOFYA HAPA=>
MAJONZI: Afisa wa Chadema Afariki Dunia na Mgombea Ubunge kwa Chama hicho yupo Mahututi. BOFYA HAPA=>

Afisa uhamasishaji wa Chadema kanda ya nyanda za juu kusini Bw. Erasto Nyingi amefariki dunia huku mgombea ubunge wa jimbo la Nyasa kwa tiketi ya chama hicho Bw. Casbert Ngwata na mlinzi wake wakiwa mahututi baada ya gari lao aina ya Landcruiser kup…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mgombea Ubunge wa CCM Ashikiliwa na Polisi Kwa Kutishia Kuua. HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>
Mgombea Ubunge wa CCM Ashikiliwa na Polisi Kwa Kutishia Kuua. HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>

Polisi mkoani kilimanjaro, imemshikilia kwa zaidi ya saa tatu, mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo, kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Melek, baada ya kudaiwa kumtishia kwa bastola, muongoza watalii, Oscar Mosha (28), akiwa katika klabu ya usi…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mwenyekiti wa Chama cha DP Mch Christopher Mtikila Afariki dunia na watu wengine kujeruhiwa. BOFYA HAPA=>
Mwenyekiti wa Chama cha DP Mch Christopher Mtikila Afariki dunia na watu wengine kujeruhiwa. BOFYA HAPA=>

Mwenyekiti wa Chama cha DP Mch Christopher Mtikila Afariki dunia na watu wengine kujeruhiwa katika ajali. Kwa habari kamili endelea kufatilia taarifa zetu.   Mchungaji Christopher Mtikila Enzi za Uhai wake MATUKIO ZAIDI YA KUSISIMUA BOFYA HAPA=>…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Mh Lowasa Afichua Siri ya Mabadiliko Pemba. HABARI KAMILI GUSA HAPA=>
Mh Lowasa Afichua Siri ya Mabadiliko Pemba. HABARI KAMILI GUSA HAPA=>

Mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh.Edward Ngoyai Lowassa amewataka wananchi kisiwani Pemba kumkataa na kuto mchagua mgombea yeyote anaye chezea amani ya nchi  kwani nchii h…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Bofya Kwenye Herufi kupiga Kura yako.
Bofya Kwenye Herufi kupiga Kura yako.

  KUPATA MATOKEO BOFYA HAPA=>…

SOMA ZAIDI HAPA>>

 Akamatwa na Viungo Vya Binadamu, Siasa Yahusishwa. BOFYA HAPA=>
Akamatwa na Viungo Vya Binadamu, Siasa Yahusishwa. BOFYA HAPA=>

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikiria mkazi mmoja mkoani Tabora walayani Igunga kijiji cha Itumba kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya binadamu na nyara za serikali. Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida ACP…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Hujuma Nzito Yaibuka Ndani ya Kambi ya Dr. Magufuli.  HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>
Hujuma Nzito Yaibuka Ndani ya Kambi ya Dr. Magufuli. HABARI KAMILI BOFYA HAPA=>

Hatimaye mgombea Urais kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk, John Magufuli, ameibuka hadharani na kuzungumzia tatizo la kuwapo kwa baadhi ya wafuasi wa Chama chake kuhujumu kwa kuunga mkono harakati za upinzani. Mgombea urais kwa tiketi ya Ch…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Chama Cha Wananchi (CUF) Kimezidi kufunguka kuhusu kung'atuka kwa Lipumba. BOFYA HAPA=>
Chama Cha Wananchi (CUF) Kimezidi kufunguka kuhusu kung'atuka kwa Lipumba. BOFYA HAPA=>

Cuf imesema kujiuzulu kwa Profesa Lipumba hakuta yumbisha chama hicho na wala kukiteteresha. Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar jana kuhusu uwamuzi wa Profesa Lipumba kujiuzuru uenyekii wa chama hicho, Kaimu mkurugenzi wa mawasilian…

SOMA ZAIDI HAPA>>

Sasa Siri za Kunga'tuka kwa Lipumba Zimebainika. BOFYA HAPA=>
Sasa Siri za Kunga'tuka kwa Lipumba Zimebainika. BOFYA HAPA=>

Mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, ametangaza kuachia wadhifa huo huku akisema sababu kuu iliyomsukuma kufanya hivyo ni kupinga wanachama wa Chama cha mapinduzi (CCM) kujiunga na umoja wa katiba ya wananchi (Ukawa) Hat…

SOMA ZAIDI HAPA>>
 
Top